Hinweis: Diese Website ist noch in der Beta-Phase - Wir bauen zur Zeit alles auf, aber du kannst bereits deine Apps zum Mitmachen downloaden.
Die Mandel ist ein bis zu 6 Meter hoher Baum bzw. Strauch mit offener Krone und üppiger Blütenpracht. Die Blätter sind lanzettlich, wechselständig angeordnet, fein gezähnt, der Länge nach gefaltet und 5 bis 10 cm lang. Die Blüten erscheinen vor dem Laub.
Man kann den Mandelbaum mit dem Mandelbäumchen (Prunus triloba) verwechseln. Dieses ist ein Ziergehölz und trägt dicht gefüllte und sterile Blüten, weshalb sie niemals Früchte ansetzen.
Im Frühling findet die Bestäubung hauptsächlich durch Insekten statt.
Die ersten Blätter sind an 3 Stellen vollständig entrollt oder entfaltet, wobei die Blätter schon ihre endgültige Form, aber noch nicht die endgültige Größe haben.
Mandelbaum - Blattentfaltung
Die ersten Pflanzen beginnen zu blühen. Bei den Sträuchern sind die ersten Blüten an mindestens 3 Stellen vollständig geöffnet, sodass die Staubgefäße sichtbar sind.
Normal gewachsene und gesunde Früchte sind an mindestens 3 Stellen der Pflanze reif. Sie haben eine bräunliche Außenhülle und sind aufgeplatzt.
Ces arbres sont omniprésents le long des rues et axes urbains, souvent en alignement, ce qui permet une très bonne résolution de la mesure de la pollution atmosphérique. Ils permettent un échantillonnage à hauteur de la respiration humaine. Ce sont des capteurs passifs bien plus économiques que les filtres.
Les écorces des platanes se renouvelle tous les ans, la collecte d’écorce permet alors d’avoir une valeur moyennée sur une année. Ce renouvellement annuel permet également une collecte facile sans préjudices pour les arbres et facilite l'échantillonnage. Il débute fin février - début mars.
Pour en apprendre plus sur le projet, nous vous proposons un livret de présentation.
Hii inategemea aina ya kituo unachotaka kuripoti: kituo cha hali ya hewa, kituo cha maji, Hali ya Hewa@Nyumbani au Dokezo Picha.
Tazama maagizo ya kila aina ya kituo hapa chini:
1.) Je, uko kwenye kituo cha hali ya hewa?
Je, uko kwenye kituo cha hali ya hewa? Piga picha ya ubao wa taarifa. Hakikisha kwamba inawezekana kusoma namba kwenye kipima joto, kipima unyevunyevu na kipima mvua kutoka kwenye picha (angalia mfano hapa chini).
Piga picha ya kipima(rula) kiwango cha maji kwenye maji (tazama mfano hapa chini) na uhakikishe kuwa inawezekana kusoma namba za kiwango cha maji kutoka kwenye picha. Kumbuka kwamba kipimo cha kiwango cha maji kwenye kituo chako kinaweza kuonekana tofauti kidogo kuliko katika mfano.
Piga picha ya kipimo chako cha mvua (tazama mfano hapa chini) na uhakikishe kuwa inawezekana kusoma thamani za namba kwa urahisi.
4.) Je, ungependa kuripoti dokezo picha?
Hizi zinaweza kutumika kushirikisha picha za aina yoyote ya matukio ya hali ya hewa, kwa mfano dhoruba ya mvua ya mawe, mafuriko au mto mkavu. Hapa kuna baadhi ya mifano:
Kwenye picha hapo juu unaweza kuona mto uliofurika.
Kwenye picha hapo juu unaweza kuona mto unakaribia kukauka.
Kwenye picha hapo juu unaweza kuona mmomonyoko mkubwa wa udongo (mvua imeondoa sehemu ya udongo).
Kwenye picha hapo juu unaweza kuona ukame.
Mvua katika eneo fulani hupimwa kwa kipima mvua. Kwenye kituo, kipimo cha mvua kimewekwa upande wa kulia wa ubao wa taarifa (angalia mfano hapa chini).
Mvua hupimwa kwa milimita (mm). Alama zilizo kando ya kipimo cha mvua zinaonyesha ni kiasi gani cha mvua ilinyesha tangu mara ya mwisho kipima mvua kilipomwagwa. Kiwango kinagawanywa katika vipindi vya 1 mm (alama fupi) na 5 mm (alama ndefu). Kuangalia kiasi cha maji katika kipimo cha mvua. Simama mwenyewe, ili macho yako yawe kwenye urefu sawa na kiwango cha maji kwenye kipimo cha mvua (tazama mfano hapa chini).
Alama iliyo karibu zaidi na kiwango cha maji katika kipimo cha mvua ni kiasi cha mvua. Katika mfano hapo juu mvua ni 10 mm. Baada ya kuwasilisha taarifa ya kipimo cha mvua, usisahau kumwaga maji katika kipimo cha mvua kwa kukigeuza juu chini na baadaye kukirudisha juu huku mdomo(inlet) ikielekea angani (kama ilivyo kwenye picha ya kwanza).
Kipimajoto hupima joto la hewa mahali fulani. Kipimajoto katika kituo hiki hupima joto kutoka -35 hadi 55 digrii Selsiasi (°C) (tazama mfano hapa chini).
Wakati hali ya joto ni hasi (chini ya 0 °) ni kufungia. Kiwango kwenye thermometer imegawanywa katika vipindi vya 1 ° C (alama fupi) na 5 ° C (alama ndefu). Alama iliyo karibu na pointer ni halijoto ya sasa. Katika mfano juu ya joto ni 20 ° C.
Kipimo cha kupima unyevunyevu (tazama mfano hapa chini) hupima jinsi hewa ilivyo na unyevunyevu katika eneo fulani. Hii pia inaitwa unyevu wa kwa kulinganishwa.
Inaweza kupima unyevunyevu kwenye hewa kutoka 0% (kavu kabisa) hadi 100% (yenye unyevu sana). alama kwenye kipima unyevunyevu zimegawanywa katika vipindi vya 1% (alama fupi) na 5% (alama ndefu). Alama iliyo karibu na mshale ni unyevunyevu wa sasa. Katika mfano hapo juu unyevu ni 50%.
Kipimo cha kiwango cha maji kinaweza kutumika kupima kiasi cha maji katika mto. Kwa kuchukua vipimo vya kila mara, unaweza kurekodi mabadiliko katika kiwango cha maji kwa muda. Alama kwenye kipimo cha kiwango cha maji ni sentimita (cm). Hii ni aina moja ya kipima kiwango cha maji, ambapo kila alama ina upana wa sentimita 1:
Katika mfano huu, kiwango cha maji ni 56 cm (4 cm chini ya 60). Hiki ndicho kiasi unaweza kuweka kama 'Kiasi cha kiwango cha maji' kwenye programu.
Ikiwa kiwango cha maji cha mto kinaweza kuongezeka zaidi ya mita 1 (cm 100), Vipima kiwango cha maji kadhaa vitaonggezwa juu au kwa diagonally (kimbo) juu ya kila kimoja:
Kisha nambari iliyo juu itakuambia kiwango cha juu cha maji ambacho kinaweza kupimwa kwa kipimo hicho kwa mita. Katika mfano hapo juu, ni 1 m. Hii ndiyo thamani unayoweka kama 'Nambari ya kipimo' kwenye programu.
Topetope linaweza kupimwa kwa kutumia bomba la topetope (tazama picha hapa chini).
Bomba lina alama katika upande. Kiwango kikubwa kinaonyesha kuwa chembe nyingi zaidi huyeyushwa ndani ya maji na kwamba maji siyo meupe sana. Kwa upande wa ubora wa maji, kiwango cha chini ni bora zaidi.
Ili kupima topetope, hatua kadhaa zinahitajika:
Kwanza jaza maji kwenye jagi lililoshikiliwa na mnyororo kutoka mtoni. Jaribu kuchukua majiya juu ya uso wa mto na si kutoka kchin ya mto.
Kisha mimina maji kidogo kwenye bomba la topetope hadi ifikie alama ya kwanza (tazama mfano wa picha hapa chini).
Sasa angalia kwenye bomba la topetope kutoka juu. Je, unaweza kuona duara la kijani kibichi chini ya bomba?
-Ikiwa huwezi kuona mduara wa kijani tena, soma thamani katika alama ya chini kabisa kwenye bomba na uweke thamani hiyo katika sehemu inayofaa katika programu ya HydroCrowd. Ikiwa mduara wa kijani bado unaonekana, jaza bomba hadi alama inayofuata. Rudia mchakato hadi ambapo hutaweza kuona mduara wa kijani tena.
Ingiza thamani hiyo katika programu ambapo mduara haukuonekana tena.
Unaweza kuchagua kati ya aina nne tofauti za vituo:
- Kituo cha hali ya hewa: Katika kituo hiki, unaweza kupima vipengele tofauti vya hali ya hewa kama vile mvua, halijoto na unyevunyevu. Hii inaweza tu kufanywa katika vituo vilivyopo vya HydroCrowd.
- Kituo cha maji: Katika kituo hiki, unaweza kupima kiwango cha maji na topetope kwenye maji ya mto. Hii inaweza tu kufanywa katika vituo vilivyopo vya HydroCrowd.
- Hali ya hewa @ Nyumbani: Unda kituo chako mwenyewe na utoe maelezo ya hali ya hewa kutoka kwenye kipimo cha mvua nyumbani kwako.
- Dokezo Picha: Pakia picha ya hali ya hewa au uchunguzi wa maji kutoka eneo lolote unalopenda.